[Music] Joel Lwaga – Usipigane

[Music] Joel Lwaga - Usipigane

Download Mp3 “Usipigane” Music by Joel Lwaga

East Africa Tanzania Contemporary Christian/Gospel Musician, Joel Lwaga Release New Song Titled “Usipigane” Usipigane Is a Powerful Song That Will Uplift Your Spirit.
Listen & Download Free Mp3 Audio, Stream Music Video & Lyrics. Share & Stay being blessed

What do you think about this song?

We want to hear from you all

Drop your comments

Joel Lwaga – Usipigane Lyrics

Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana

Acha kutarajia, ishundi
Kwa nguvu zako mwenyewe mmh mmmh
Vita ni ya mungu
Mwache ye atakupigania tu
Acha kuhangaika, na wanadamu
Ili kuongeza jeshi lako eh eh eh
Hao ni wanadamu ,ni watu tu
Watakuhunisha tu eh eh eh
Alimwanbia musa waambie Israel
Watulie waone wokovu wangu wangu leo
Maana wamisri hawa wanaowaona leo
Hawatawaona tena eh eh eh
Yesu nae kajiita bwana wa sabato
Sabato maana yake pumziko
Tabasamu katikati ya mapito
Ukimwamini bwana
Usipiganeee

Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana

Kuna yale
Ya wewe kufanya
Na kuna yale ya mungu kufanya
Usimsaidie
Yale yak wake maana hautaweza
Usitikiswe na uhalisia
Usiyumbishwe na mazingira
Iwe unaona, au huoni
Ye anapigana eh eh eh
Usiogope ile ripoti ya dakitari
Usiogope lile deni la ile benki
Usiogope ile kesi mahakamani
Anakupiganiaa
Usiogope utavaa shela lako
Usiogope udogo wa kanisa lako
Usiogope maneno na fitna zao
Vita ni ya bwana
Usipiganeeeee eeeeeh

Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana
Usipigane
Vita ni ya bwana
Ukipigana anatulia
Ukitulia anapigana

Joel Lwaga – Usipigane Music Video

The post [Music] Joel Lwaga – Usipigane appeared first on Mp3smash.


Post a Comment

Previous Post Next Post