[Music] The Saints Ministers – Kunapokucha

[Music] The Saints Ministers - Kunapokucha 1614421991 mp3smashcom

Download Mp3 “Kunapokucha” Music by Eli-J

Contemporary Christian/Gospel Music Collective, Eli-J Release New Song Titled “Kunapokucha” Kunapokucha Is a Powerful Song That Will Uplift Your Spirit.
Listen & Download Free Mp3 Audio, Stream Music Video & Lyrics. Share & Stay being blessed

DBUT 2 1
What do you think about this song?

We want to hear from you all

Drop your comments

The Saints Ministers – Kunapokucha Lyrics

Kila kunapokucha
Maisha yangu nitakukabidhi
Kazi zangu naweka kwako
Eee bwana wangu unilinde
Fikira zangu uziimailishe
Ziweze kukuhimidi
Nijaze na roho mtakatifuu
Chours
Nikiyafungua macho
Nione uwepo wako
Na masikio yangu yote
Utulivu uwe wimbo
Akili nayo iwaze mema
Uniongoze cku nzima
Nitalisifu jina lako
Bwana unipe matumaini
Intrumental
Cku ikiwa na purukushani
Magonjwa mengi yakinibana
Ajali huku sikitiko kote
Unizingile baba
Jioni nayo mungu wangu
Neema na fadhili zako
Nazihitaji usiku kucha nitashukuru
Chorous
Nikiyafungua macho
Nione uwepo wako
Na masikio yangu yote
Utulivu uwe wimbo
Akili nayo iwaze mema
Uniongoze cku nzima
Nitalisifu jina lako
Bwana unipe matumaini
Na mahitaji ya kesho
Sina shaka kwani ww mungu
Uuuuh mpaji
Chorous
Nikiyafungua macho
Nione uwepo wako
Na masikio yangu yote
Utulivu uwe wimbo
Akili nayo iwaze mema
Uniongoze cku nzima
Nitalisifu jina lako
Bwana unipe matumaini
Nikiyafungua macho
Nione uwepo wako
Na masikio yangu yote
Utulivu uwe wimbo
Akili nayo iwaze mema
Uniongoze cku nzima
Nitalisifu jina lako
Bwana unipe matumaini
Nikiyafungua macho
Nione uwepo wako
Na masikio yangu yote
Utulivu uwe wimbo
Akili nayo iwaze mema
Uniongoze cku nzima
Nitalisifu jina lako
Bwana unipe matumaini

The Saints Ministers – Kunapokucha Music Video

The post [Music] The Saints Ministers – Kunapokucha appeared first on Mp3smash.


Post a Comment

Previous Post Next Post